Hatua muhimu za kujiunga na chama cha wafanyakazi madaktari na wafamasia Tanzania

  • Category: Taarifa
  • Published: Thursday, 26 October 2023 08:22
  • Written by bitta magesa rusweka
  • Hits: 266

Hatua ya kwanza

Pakua fomu ya kujiunga TUF 15

Hatua ya pili

jaza fomu kwa mpangilio ufuatao

a.Mstari wa kwanza andika majina yako kamili

b.Mstari wa pili jaza chek namba yako/au nambari ya kitambulisho chako

c.Mstari wa tatu jaza jina la mwajiri wako.jina linaweza kuwa/taasisi/Hospitali unayofanyia kazi/kituo chako cha kazi

 Hatua ya tatu ya fomu

weka sahihi yako kwenye mstari  unaonekana chini ya fomu  (Employee signature) na mbele weka tarehe ya kujiunga

Mstari wa mwisho mpe mtu yoyote kuwa anayekushuhudia ukijaza fomu anaweza kuwa mfanyakazi mwenzako,Rafiki yako au yoyote mwenye umri zaidi ya 18 na akili timamu

Hatua ya nne

Juu ya fomu andika/jaza kodi ya makato ya chama TMDPWU-Deduction code namba  PC)  7018)

piga picha fomu yako ya kujiunga na uscan vizuri/aupi picha itume kwa  barua pepe zifuatazo

This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.  au This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.  au whassp number  0673420443/0713910324

Hatua ya tano

jaza juu ya fomu yako  kodi ya chama (DEDUCTION CODE PC 7018) na wasilisha fomu yako ofisi ya mwajiri wako /utawala/afisa utumishi ili aweke jina lako katika orodha ya makato ya chama.

 

Muhimu kuzingatia

Vigenzo vya kuwa mwanachama uwe Daktari wa ngazi zote kuanzia cheti hadi huduma bobezi na wafamasia kuanzia ngazi ya cheti hadi  huduma bobezi.

Jiunge sasa na chama cha kada yako.

kwa ufafanuzi zaidi tupigie  0713910324/0756477968/0787941606/0673420443.

Mawasiliano

Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union (TMDPWU) 
Post - Azikiwe/Jamhuri St Phoenix House 2nd Floor
P.O.Box 65498
+255 787 941 606 | +255 713 910 324  
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.


Copyright © Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union.. All Rights Reserved. Designed by microsafi.com