kikao cha baraza kuu la chama tarehe 08/12/2023

  • Category: Taarifa
  • Published: Tuesday, 21 November 2023 09:19
  • Written by bitta magesa rusweka
  • Hits: 211

Katibu mkuu chama cha wafanyakazi madaktari na wafamasia Tanzania  anapenda kuwatangazia na kuwaalika wajumbe wote wa baraza kuu la chama kuhudhuria bila kukosa kikao cha baraza la chama kitakachofanyika katika ukumbi wa morogoro hoteli mkoani morogoro siku ya tarehe 08/12/2023.

Aidha wajumbe wote ambao hawajapokea barua zao za mwaliko wa mkutano wanaweza kuwasiliana na uongozi wa chama kupitia namba zinazoonekana kwenye tovuti  ya chama.

Katibu mkuu pia anawakumbusha madaktari wa ngazi zote na wafamasia wa ngazi zote kujiunga na chama kulingana na maelekezo yanayoonekana kwenye tovuti ya chama

 

asante

Mawasiliano

Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union (TMDPWU) 
Post - Azikiwe/Jamhuri St Phoenix House 2nd Floor
P.O.Box 65498
+255 787 941 606 | +255 713 910 324  
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.


Copyright © Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union.. All Rights Reserved. Designed by microsafi.com