Dira, Shabaha & Madhumuni

Dira ya chama
Ni kuwa chama imara, chenye nguvu, cha kidemokrasia, kinachojitegemea,kinachounganisha wafanyakazi wote wa taaluma ya Madaktari,Madaktari wasaidizi ,matabibu na matabibu wasaidizi na wafamasia ,Wafamasia wasaidizi ndani ya TMDPWU, kinachotimiza haki na maazimio ya wanachama wake kwa kukidhi mahitaji.

Shabaha ya chama
Shabaha kuunganisha kushirikisha wanachama wa kada mbalimbali katika maamuzi,kushinikiza kuwepo kwa sera za kupanua na kuongeza wigo wa nafasi za ajira, kuboresha mazingira ya kazi na kuhakikisha kuwa wanachama wanakuwa na maisha bora wakati wakiwa ndani ya ajira na wakistaafu na hatimaye kuboresha huduma za afya Nchini.

Mawasiliano

Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union (TMDPWU) 
Post - Azikiwe/Jamhuri St Phoenix House 2nd Floor
P.O.Box 65498
+255 787 941 606 | +255 713 910 324  
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.


Copyright © Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union.. All Rights Reserved. Designed by microsafi.com