Ada ya Uanachama

Ada yauanachama italipwa,kila mwezi kwa viwango vitakavyowekwana Mkutano mkuu wachama.

Utaratibu wa malipo ya ada za uanachama yatafanywa kama ifuatavyo:

  1. Ada ya uanachama italipwa moja kwa moja na mwajiri kwa kukatwa asilimia 2% katika mshahara na hii itawasilishwa kila mwezi kabla ya tarehe nane kwenyeakauntiyaTMDPWU.
  2. Kwa wale ambao hawatakuwa katika mfumo wa ajira kama kifungu 3.3(b)1{i}kinavyoelekeza, ada inaweza kulipwa na mwanachama mwenyewe tawini kwakena kupewastakabadhiyake.

Mawasiliano

Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union (TMDPWU) 
Post - Azikiwe/Jamhuri St Phoenix House 2nd Floor
P.O.Box 65498
+255 787 941 606 | +255 713 910 324  
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.


Copyright © Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union.. All Rights Reserved. Designed by microsafi.com