Maazimisho ya SIku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yatafanyika mkoa wa...
Read moreSisi ni Madaktari na wafamasia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunalo jukumu kubwa la kuchangia kukua kwa uchumi wa nchi hii kwa kuzuia na kutibu magonjwa na vilevile kulinda afya za Watanzania wakiwemo viongozi wa nchi hii.
Jukumu letu linahitaji elimu, ujuzi, ufahamu, uadilifu, uvumilivu na upendo; na kwa kuwa daktari na mfamasia kama raia mwingine yeyote nchini wana haki ya kupata huduma bora za kijamii, kiuchumi na kimaslahi kama vile afya, chakula, malazi, usafiri na huduma nyingine za kijamii.
TMDPWU imeanzishwa kuhakikisha kuwa madaktari na wafamasia wote tunatekeleza wajibu wetu na kupata haki zote tunazostahili kutokana na kazi yetu tukiwa na kauli mbiu ya ‘Huduma bora za afya kwa wote’.
Maazimisho ya SIku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yatafanyika mkoa wa...
Read more
Viongozi wa chama Taifa wakiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza...
Read more
Viongozi na Wajumbe wa kamati tendaji ya chama cha wafanyakazi madaktari...
Read more
Wanachama wa chama cha wafanyakazi madaktari na wafamasia Tanzania katika...
Read more
Katibu mkuu Dr. Siril A Harya aliyekaa upande wa kushoto na Naibu Katibu...
Read more
Matukio ya siku ya wanawake Duniani ambayo wanachama wanawake...