Kazi/Madhumuni ya TMDPWU

  1. Kuunganisha Madaktari,Madaktari wasaidizi ,matabibu na matabibu wasaidizi na wafamasia ,Wafamasia wasaidizi, kuwahimiza kufanya kazi yao vizuri na kusisitiza waoneshe mfano bora wa kazi, uadilifu, tabia na mwenendo
  2. Kuweka misingi na njia bora za ushirikiano miongoni mwa Madaktari,Madaktari wasaidizi ,matabibu na matabibu wasaidizi na wafamasia ,Wafamasia wasaidizi wote kwa
    kuzingatia maoni, mapendekezo na maamuzi yao yanayohusu masuala ya utoaji huduma
  3. Huduma Bora za afya Kuweka misingi na njia bora za ushirikiano miongoni mwa madaktari wote kwakuzingatia maoni, mapendekezo na maamuzi yao yanayohusu masuala ya utoaji hudumaboraza afya.
  4. Kuwahusisha kwa vitendo wadau wote wa afya katika mada zinazohusu sera za afya nakuwezeshautoajihudumaborazaafyakwakuzingatiausawanataaluma.
  5. Kuhakikishauwakilishimahususiwawanachamakatikaserikali,bodimbalimbali,mashirikayaummaau yabinafsimudawowoteambapouwakilishihuoutahitajika.
  6. Kutoa ushauri, uzoefu na kuhakikisha ushirikiano kati ya TMDPWU na serikali, wizarazinazohusu afya; mabaraza, bodi au mashirika mbalimbali ya umma au binafsi ambayoyanajihusishanaafya.
  7. Kushirikiana na vyama, bodi au mashirika mbalimbali ndani na nje ya Tanzania yenyemalengonamadhumuniyanayofanananayaleyaChamachaTMDPWU.
  8. Kukazana kuhakikisha taaluma za wanachama wa TMDPWU zina kuwa za ubora unaotakika na kuhakikisha nafasi za juu za kazi katika sekta ya afya zinazohusu taaluma za wanachama zinajazwa na wanachama waTMDPWU.
  9. Kufuatilia kwa karibu matumizi na utendaji kazi wa sheria,kanuni,taratibu,nyaraka,amri na kumbukumbu mbalimbali zinazohusu mfumo wa afya; kuibusha na kuhakikisha mabadiliko ya hizo sheria, kanuni, taratibu, nyaraka, amri na kumbukumbu mbalimbali zinazohusu mfumo wa afya yanatokea na hata kuondolewakabisa inapohitajika.
  10. Kushauriana na waajiri juu ya haki, maslahi na hali nyingine zinazo husiana na mazingira ya ajira ya Madaktari,Madaktari wasaidizi ,matabibu na matabibu wasaidizi na wafamasia ,Wafamasia wasaidizi
  11.  Kushauriana na waajiri juu ya haki, maslahi na hali nyingine zinazo husiana na mazingiraya ajirayaudaktarinaufamasia.
  12. Kumiliki kwa njia ya kununua , kukodisha,au vyovyote vile mali inayohamishika na isiyohamishika na kuuza, kukodisha, kupangisha, kuweka rehani au kutoza ada au kwanjia nyingine yoyote ile mali inayohamishika na isiyohamishika inayomilikiwa na Chama cha TMDPWU.
  13. Kuwekeza katika vitega uchumi vitakavyoboresha ustawi wa wanachama na huduma za afya zaTanzania ingawa si Chama cha kibiashara.
  14. Kushauri kuhusu tija na ufanisi mahali pa kazi.
  15. Kuwakutanisha wanachama mara kwa mara ili waweze kujadili maendeleo na matatizo katika taaluma zao na kutafuta mbinu za kuyatatua ,kufahamiana nakubadilishanamawazo ili kujenga utamaduni wakujiendeleza.
  16. Kuelimisha juu ya masuala ya vyama vya wafanyakazi na umuhimu wake mahala pa kazi.
  17. Kutetea na kufuatilia utekelezaji w a sera na sheria Madaktari,Madaktari wasaidizi ,matabibu na matabibu wasaidizi na wafamasia ,Wafamasia wasaidizi katika utendaji wao wa kazi.
  18. Kuhakikisha kuwa waajiri Madaktari,Madaktari wasaidizi ,matabibu na matabibu wasaidizi na wafamasia ,Wafamasia wasaidizi wanazingatia na kutekeleza vyema sheria na kanuni za nchi zinazohusu kazi na ajira, pamoja na mikataba iliyopo kati yawaajiri hao na Madaktari,Madaktari wasaidizi ,matabibu na matabibu wasaidizi na wafamasia ,Wafamasia wasaidizi au Chama cha TMDPWU ili mradi sheria hizo zinazingatia haki.
  19. Kuhakikisha kuwa hakuna ubaguzi wa rangi,kabila,dini,hali au jinsia.
  20. Kuwa na uhuru wa kushirikiana na kushauriana na vyama vingine vya wafanyakazi chinina njeyanchi.

Mawasiliano

Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union (TMDPWU) 
Post - Azikiwe/Jamhuri St Phoenix House 2nd Floor
P.O.Box 65498
+255 787 941 606 | +255 713 910 324  
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.


Copyright © Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union.. All Rights Reserved. Designed by microsafi.com