MWANAMKE JASIRI KUTOKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

  • Category: Matukio
  • Published: Tuesday, 12 December 2023 08:31
  • Written by bitta magesa rusweka
  • Hits: 412

Mwenyekiti wa wanawake Taifa Dr.Anna Msafiri akichangia mada kuhusu kuwafikia na kuwawezesha wanawake  sehemu zao za kazi ili kuongeza ufanisi na uthamini wa kazi zinazofanywa na wanawake na kusistiza Madaktari na Wafamasia wanawake popote walipo wachukue hatua za kujiunga na chama cha wafanyakazi madaktari na wafamasia Tanzania ili kujikwamua na unyonyaji wa waajiri wakorofi.

 

Mawasiliano

Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union (TMDPWU) 
Post - Azikiwe/Jamhuri St Phoenix House 2nd Floor
P.O.Box 65498
+255 787 941 606 | +255 713 910 324  
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.


Copyright © Tanzania Medical, Dental and Pharmaceutical Workers Union.. All Rights Reserved. Designed by microsafi.com