Ada ya Uanachama
Ada yauanachama italipwa,kila mwezi kwa viwango vitakavyowekwana Mkutano mkuu wachama.
Utaratibu wa malipo ya ada za uanachama yatafanywa kama ifuatavyo:
- Ada ya uanachama italipwa moja kwa moja na mwajiri kwa kukatwa asilimia 2% katika mshahara na hii itawasilishwa kila mwezi kabla ya tarehe nane kwenyeakauntiyaTMDPWU.
- Kwa wale ambao hawatakuwa katika mfumo wa ajira kama kifungu 3.3(b)1{i}kinavyoelekeza, ada inaweza kulipwa na mwanachama mwenyewe tawini kwakena kupewastakabadhiyake.