Tawi la TMDPWU Hospitali ya rufaa mkoa Morogoro na siku ya wanawake

Wanachama na wanawake wa chama cha wafanyakazi cha madaktari na wafamasia Tanzania tawi la hospitali ya rufaa mkoa wa morogoro wakiongzwa na Mwenyekiti wa wanawake Dr.Deodata Ruganuza ambaye ni Daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama sambamba na wanachama wengine wakiwa katika picha ya pamoja kuelekea siku ya wanawake Duniani.