MWANAMKE JASIRI KUTOKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Mwenyekiti wa wanawake Taifa Dr.Anna Msafiri akichangia mada kuhusu kuwafikia na kuwawezesha wanawake sehemu zao za kazi ili kuongeza ufanisi na uthamini wa kazi zinazofanywa na wanawake na kusistiza Madaktari na Wafamasia wanawake popote walipo wachukue hatua za kujiunga na chama cha wafanyakazi madaktari na wafamasia Tanzania ili kujikwamua na unyonyaji wa waajiri wakorofi.
