Viongozi wa chama Taifa waendelea na uhamasihaji hospitali ya rufaa mkoa Dodoma
Katibu mkuu Dr. Siril A Harya aliyekaa upande wa kushoto na Naibu Katibu Mkuu mwenye tsheti ya chama nyeusi Mfamasia Domminick J Mfoi kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya wa tawi la Dodoma mara baada ya mkutano wa uhamasishaji.
