kikao cha baraza kuu la chama tarehe 08/12/2023
Katibu mkuu chama cha wafanyakazi madaktari na wafamasia Tanzania anapenda kuwatangazia na kuwaalika wajumbe wote wa baraza kuu la chama kuhudhuria bila kukosa kikao cha baraza la chama kitakachofanyika katika ukumbi wa morogoro hoteli mkoani morogoro siku ya tarehe 08/12/2023.
Aidha wajumbe wote ambao hawajapokea barua zao za mwaliko wa mkutano wanaweza kuwasiliana na uongozi wa chama kupitia namba zinazoonekana kwenye tovuti ya chama.
Katibu mkuu pia anawakumbusha madaktari wa ngazi zote na wafamasia wa ngazi zote kujiunga na chama kulingana na maelekezo yanayoonekana kwenye tovuti ya chama
asante