Kikao cha kamati ya utendaji Taifa November 2023
Chama cha Wafanyakazi Madaktari na Wafamasia Tanzania (TMDPWU), kinapenda kuwajulisha wajumbe wa kamati tendaji ya chama kuhudhuria kikao cha tatu cha mwaka cha kamati tendaji ya Chama tarehe 04/11/2023 katika ofisi za chama zilizopo Posta Jengo la Phoenix floor ya 2 Mjini Dar es salaam kuanzia saa 4:00 Asubui.
Aidha Chama kinakuomba kudhibitisha ushiriki wako kabla ya tarehe 01/11/2023.
Chama kitarejesha gharama za usafiri wa barabara na posho ya kikao.
Natanguliza shukrani
Mr.Bitta magesa Rusweka
Kny:Katibu Mkuu