Uwanachama

Maombi ya kujiunga na Chama yataambatana na ujazaji wa fomu ya makato ya ada za Chamailiyoelekezwa (TUF 15) kama ilivyoanishwa katika Sheria Na. 6 ya Aira na Mahusiano kazini ya2019 kifungu cha 61. Chama chaTMDPWU kitakuwa na aina mbili za wanachama;

Wanachama wa Kawaida:

  1. Wanacha mawaanzilishi Wanachama wote watakaokuwa kwenye orodha kabla ya kuanzishwa kwa Chama nawatakamilisha taratibu za kujiunga na Chama hiki baada ya kuanzishwa watahesabiwakuwa waanzilishi wa Chama cha TMDPWU. Mwanachama mwanzilishi atakuwa na hakina wajibukama mwanachamamwingine yeyotewaTMDPWU.
  2. WanachamaWapya Utaratibuwakupata wanachamawapya auwengine,mbali na waanzilishi ni: Maombi ya kutaka uanachama yatapelekwa kwenye halmashauri ya Tawi ya mahalianapofanyia kazi mwombaji. Pale ambapo hapana tawi maombi yatapelekwa katika ofisiya Chamailiyokaribu.

Uanachama wa Heshima:

Kutakuwa na uanachama wa heshima utakaotunukiwa mtu aliyetoa mchango wa pekee nauliotukuka katikakuendeleza mapambanoyawafanyakazi.

  1. UtaratibuwakuteuamwanachamawaHeshima {i} Kamati ya Utendaji ya Kanda itawasilisha jina la mhusika katika Kamati ya Utendaji yaTaifa kwauratibu kabla yakupeleka kwenyeBaraza Kuu {ii}UteuziwauanachamawaHeshimautafanywanaMkutanoMkuuwachamakutokanana majinayaliyoratibiwana kuwasilishwa kwake naBarazaKuu.
  2. WanachamawaheshimahawaruhusiwikupigakurakwenyemikutanoyoyoteyaChama.