Haki na Wajibu wa Mwanachama

Haki za mwanachama

Mwanachama yeyote isipokuwa mwanachama wa heshima na shirikishi,atakuwa na haki zifuatavyo;

  1. Kuwakilishwa naChama dhidi ya mwajiri wake au kujitetea yeye mwenyewe dhidi ya mwajiri huyo,akisimamiwa na chama,kwa kosa lolote linalohusu ajira.
  2. Kujitetea na kukata rufaa kwenye vyombo vya juu vya chama pale asiporidhika na uamuzi wa ngazi za chini.
  3. Kushiriki katika chaguzi mbalimbali za chama
  4. Kuchagua viongozi na/aukugombea uongozi
  5. Kuhoji na kufahamishwa kuhusu mapato na matumizi ya mali na fedha za Chama.
  6. Kuwa mdau wa mambo yote yanayokihusu chama ikiwemo rasilimali na vitega uchumi.

Wajibu wa Mwanachama
Kila mwanachama,isipokuwa wanachama wa heshima na shirikishi atakuwa na wajibu wa

  1. Kulipaadayakilamwezinamalipomaalumunakuhakikishaimewasilishwapanapohusika kwawakati unaotakiwa.
  2. Kuungamkononakusaidiakwavitendomaendeleoyachama
  3. KuzingatiaKatiba,kanuninataratibuzachamanakuheshimumaamuziyaliyotokanana kanuni autaratibuhizo.
  4. Kushirikikatikashughulizotezachamanamikutano.