TMDPWU TAWI LA TEMEKE HOSPITALI NA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI




Wanachama wa chama cha wafanyakazi madaktari na wafamasia Tanzania katika picha ya pamoja katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani siku ya tarehe 08/03/2024 maadhimisho yaliyofanyika wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es salaam.