PSSF USO KWA USO NA WAJUMBE WA BARAZA LA CHAMA CHA WAFANYAKAZI MADAKTARI NA WAFAMASIA TANZANIA

Leo tarehe 08.12.2023 wajumbe wa baraza la chama cha wafanyakazi madaktari na wafamasia Tanzania wamepatiwa elimu  na wawezeshaji kutoka mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umma (PSSF) na  wajumbe kupata wasaa wa kuuliza maswali na kujibiwa katika kikao ch baraza kilichofanyika katika ukumbi wa morogoro Hoteli Mkoani Morogoro