BARAZA KUU LA CHAMA CHA WAFANYAKAZI MADAKTARI NA WAFAMASIA TANZANIA

Viongozi wa chama Taifa  wakiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza Kuu la chama katika Hoteli ya Morogoro Mkoani Morogoro siku ya tarehe 08.12.2023