Wajumbe wa kamati tendaji ya chama wakiendelea na kikao
Viongozi na Wajumbe wa kamati tendaji ya chama cha wafanyakazi madaktari na wafamasia Tanzania wakeendelea na kikao cha mipango ya maendeleo ya chama.
Kikao ambacho kimefanyika ndani ya ukumbi wa ofisi za chama TMDPWU-Posta mpya mtaa wa azikiwe/jamhuri
