Tmdpwu ndani ya siku ya wanawake Duniani

 

Matukio ya siku ya wanawake Duniani ambayo wanachama wanawake wachama cha wafanyakazi madaktari na wafamasia Tanzania Tawi la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili waliweza kushiriki  vizuri ikiwa sambamba na kutoa msaada kwa wagonjwa wanawake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.