Kuhusu TMDPWU
Chama kilianzishwa mwaka 2012 baada ya mgogoro wa Madaktari na Wafamasia dhidi ya Serikali kuhusu maslahi ya sekta ya afya na baadae kusajiliwa tarehe 28/01/2013 na kupata usajili namba 026 kikiwa chama pekee kinachobeba matumaini ya kuboresha na kukuza sekta ya afya na watumishi wake wote bila kubagua kada yoyote yoyote ya Afya.